Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 15:6-8

Ayubu 15:6-8 SRUV

Kinywa chako mwenyewe chakuhukumia makosa, wala si mimi; Naam, midomo yako mwenyewe hushuhudia juu yako. Je! Wewe u mtu wa kwanza aliyezaliwa? Au, ulizawa wewe kabla ya milima? Je! Umesikiza ushauri wa siri ya Mungu? Nawe je! Wazuia hekima iwe yako tu?

Soma Ayubu 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 15:6-8