Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 4:28-29

Yohane 4:28-29 BHN

Huyo mama akauacha mtungi wake pale, akaenda mjini na kuwaambia watu, “Njoni mkamwone mtu aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana kuwa yeye ndiye Kristo?”