Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 4:28-29

Yn 4:28-29 SUV

Basi yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda zake mjini, akawaambia watu, Njoni, mtazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! Haimkini huyu kuwa ndiye Kristo?

Soma Yn 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 4:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha