Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 3:31-33

Yohane 3:31-33 BHN

Anayekuja kutoka juu ni mkuu kuliko wote; atokaye duniani ni wa dunia, na huongea mambo ya kidunia. Lakini anayekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote. Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake. Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.