Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 19:25-27

Yohane 19:25-27 BHN

Karibu na msalaba wake Yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, Maria mke wa Kleopa, na Maria Magdalene. Yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake, “Mama! Tazama, huyo ndiye mwanao.” Halafu akamwambia yule mwanafunzi, “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 19:25-27