Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 17:1

Yohane 17:1 BHN

Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 17:1