Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:39-40

Yohane 12:39-40 BHN

Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena: “Mungu ameyapofusha macho yao, amezipumbaza akili zao; wasione kwa macho yao, wasielewe kwa akili zao; wala wasinigeukie, asema Bwana, ili nipate kuwaponya.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:39-40

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha