Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 11:41-42

Yohane 11:41-42 BHN

Basi, wakaliondoa lile jiwe. Yesu akatazama juu mbinguni, akasema, “Nakushukuru Baba kwa kuwa wewe wanisikiliza. Najua kwamba unanisikiliza daima. Lakini nimesema hayo kwa ajili ya watu hawa waliopo hapa ili wapate kuamini kwamba wewe ndiwe uliyenituma.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 11:41-42