Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 6:13-14

Yeremia 6:13-14 BHN

Wote, tangu mdogo hadi mkubwa kabisa, kila mmoja anatamani kupata faida isiyo halali. Tangu manabii hadi makuhani, kila mmoja wao ni mdanganyifu. Wameliponya jeraha la watu wangu juujuu, wanasema; ‘Amani, amani’, kumbe hakuna amani yoyote!

Soma Yeremia 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 6:13-14