Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:5-7

Yakobo 2:5-7 BHN

Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! Mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea ufalme aliowaahidia wale wanaompenda. Lakini nyinyi mnawadharau watu maskini! Je, matajiri si ndio wanaowakandamiza na kuwapeleka mahakamani? Je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 2:5-7