Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:18

Yakobo 2:18 BHN

Lakini mtu anaweza kusema: “Wewe unayo imani, mimi ninayo matendo!” Haya! Nioneshe jinsi mtu anavyoweza kuwa na imani bila matendo, nami nitakuonesha imani yangu kwa matendo yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 2:18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha