Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:15-17

Yakobo 2:15-17 BHN

Tuseme kaka au dada hana nguo au chakula. Yafaa kitu gani nyinyi kuwaambia hao: “Nendeni salama mkaote moto na kushiba,” bila kuwapatia mahitaji yao ya maisha? Vivyo hivyo, imani peke yake bila matendo imekufa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 2:15-17