Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 6:5

Isaya 6:5 BHN

Basi, mimi nikasema, “Ole wangu! Mimi nimeangamia, maana, midomo yangu ni najisi, na watu ninaoishi nao ni najisi kama mimi. Hata hivyo, kwa macho yangu mwenyewe, nimemwona Mfalme, Mwenyezi-Mungu wa majeshi.”

Soma Isaya 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 6:5