Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 58:6

Isaya 58:6 BHN

“La! Mfungo ninaotaka mimi ni huu: Kuwafungulia waliofungwa bila haki, kuziondoa kamba za utumwa, kuwaachia huru wanaokandamizwa, na kuvunjilia mbali udhalimu wote!

Soma Isaya 58

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 58:6