Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:2

Isaya 53:2 BHN

Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu, mtumishi wake alikua kama mti mchanga, kama mzizi katika nchi kavu. Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza, wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia.

Soma Isaya 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 53:2