Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 44:21-22

Isaya 44:21-22 BHN

Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ewe taifa la Yakobo kumbuka; naam, kumbuka ewe Israeli: Wewe ni mtumishi wangu. Nilikuumba ili uwe mtumishi wangu, nami kamwe sitakusahau. Nimeyafagilia mbali makosa yako kama wingu, nimezifanya dhambi zako zitoweke kama ukungu. Rudi kwangu maana mimi nimekukomboa.”

Soma Isaya 44

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha