Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:3

Isaya 43:3 BHN

Maana mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Mungu Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Nitaitoa nchi ya Misri iwe fidia yenu, nitaitoa Kushi na Seba ili mwachwe huru.

Soma Isaya 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 43:3