Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 42:3-4

Isaya 42:3-4 BHN

Mwanzi uliochubuka hatauvunja, utambi ufukao moshi hatauzima; ataleta haki kwa uaminifu. Yeye hatafifia wala kufa moyo, hata atakapoimarisha haki duniani. Watu wa mbali wanangojea mwongozo wake.”

Soma Isaya 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 42:3-4