Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:12-14

Isaya 40:12-14 BHN

Nani awezaye kupima maji ya bahari kwa konzi yake, kuzipima mbingu kwa mikono yake? Nani awezaye kuutia udongo wa dunia kikombeni; kuipima milima kwa mizani au vilima kwa kipimo cha uzani? Nani awezaye kuiongoza akili ya Mwenyezi-Mungu, au kuwa mshauri wake na kumfunza? Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri, ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi? Nani aliyemfunza njia za haki? Nani aliyemfundisha maarifa, na kumwonesha namna ya kuwa na akili?

Soma Isaya 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:12-14