Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 6:7-8

Waebrania 6:7-8 BHN

Ardhi ambayo huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara na kuotesha mimea ya faida kwa mkulima imebarikiwa na Mungu. Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 6:7-8