Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 6:4-6

Waebrania 6:4-6 BHN

Maana watu waliokwisha kuangaziwa, wakaonja zawadi za mbinguni, wakashirikishwa Roho Mtakatifu na kuonja wema wa neno la Mungu na nguvu za ulimwengu ujao, kisha wakaiasi imani yao, haiwezekani kuwarudisha hao watubu tena. Hao wanamsulubisha tena Mwana wa Mungu kwa makusudi na kumwaibisha hadharani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 6:4-6