Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 12:1

Waebrania 12:1 BHN

Sisi tunalo kundi hili kubwa la mashahidi mbele yetu. Kwa hiyo tuondoe kila kizuizi kinachotuzuia, na dhambi ile inayotungangania. Tupige mbio kwa uvumilivu katika mashindano yaliyowekwa mbele yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 12:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha