Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:24-25

Mwanzo 49:24-25 BHN

“Lakini upinde wake bado imara, na mikono yake imepewa nguvu, kwa uwezo wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, kwa jina la Mchungaji, Mwamba wa Israeli; “kwa Mungu wa baba yako atakayekusaidia, kwa Mungu mwenye nguvu atakayekubariki; upate baraka za mvua toka juu mbinguni, baraka za maji ya vilindi vilivyo chini, baraka za uzazi wa akina mama na mifugo.

Soma Mwanzo 49

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:24-25