Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 42:35

Mwanzo 42:35 BHN

Walipokuwa wanamimina nafaka kutoka magunia yao, walishangaa kuona kila mmoja wao amerudishiwa kifuko chake na fedha ndani ya gunia lake. Walipoona hayo, wote pamoja na baba yao, wakashikwa na hofu.

Soma Mwanzo 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 42:35

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha