Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 39:7-9

Mwanzo 39:7-9 BHN

Basi, baada ya muda fulani, mke wa Potifa akamtamani Yosefu na kumwambia, “Lala na mimi”. Lakini Yosefu akakataa na kumwambia huyo bwana wake, “Kamwe! Bwana wangu amenipa mamlaka juu ya kila kitu hapa nyumbani na, kwa vile niko, hajishughulishi na kitu chochote tena. Hapa nyumbani yeye hana madaraka kuliko mimi. Yeye hakunikataza kushika chochote isipokuwa wewe tu kwa kuwa wewe ni mke wake. Nitawezaje basi kufanya uovu mbaya kama huo, na kumkosea Mungu.”

Soma Mwanzo 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 39:7-9