Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 37:6-7

Mwanzo 37:6-7 BHN

Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”

Soma Mwanzo 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 37:6-7