Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 37:28

Mwanzo 37:28 BHN

Wafanyabiashara Wamidiani walipofika mahali hapo, hao ndugu wakamtoa Yosefu katika shimo, wakamwuza kwa Waishmaeli kwa bei ya vipande ishirini vya fedha; nao wakamchukua Yosefu hadi Misri.

Soma Mwanzo 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 37:28

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha