Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 37:2

Mwanzo 37:2 BHN

Hizi ndizo habari za ukoo wa Yakobo. Yosefu, akiwa kijana wa umri wa miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo na mbuzi pamoja na ndugu zake, wana wa Bilha na Zilpa, wake za baba yake. Yosefu akawa anamjulisha baba yake juu ya tabia mbaya za ndugu zake.

Soma Mwanzo 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 37:2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha