Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 35:11-12

Mwanzo 35:11-12 BHN

Tena Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu mwenye nguvu. Ujaliwe wazawa wengi; kwako wewe kutatokea taifa, mataifa na wafalme. Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaka, nitakupa wewe na wazawa wako.”

Soma Mwanzo 35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 35:11-12