Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 21:17

Mwanzo 21:17 BHN

Mungu akamsikia mtoto huyo akilia, na malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni, akamwambia, “Una shida gani Hagari? Usiogope; Mungu amesikia sauti ya mtoto huko alipo.

Soma Mwanzo 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 21:17