Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:5

Mwanzo 2:5 BHN

Hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikuwa imechipua kwani Mwenyezi-Mungu hakuwa ameinyeshea nchi mvua, wala hapakuwa na mtu wa kuilima.

Soma Mwanzo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:5