Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 1:1-2

Mwanzo 1:1-2 BHN

Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji.

Soma Mwanzo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 1:1-2