Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 6:1

Wagalatia 6:1 BHN

Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, nyinyi mnaoongozwa na Roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 6:1