Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 4:4-5

Ezekieli 4:4-5 BHN

“Kisha, nenda ukalale kwa upande wako wa kushoto. Muda wote utakapokaa katika hali hiyo utabeba uovu wa Waisraeli kama mzigo mzito. Nimekupangia muda wa siku 390 muda ambao ni sawa na miaka ya adhabu yao. Siku moja ni sawa na mwaka mmoja. Utabeba adhabu ya Waisraeli.

Soma Ezekieli 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 4:4-5