Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:4-6

Ezekieli 37:4-6 BHN

Naye akaniambia, “Toa unabii juu ya mifupa hii. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu. Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 37:4-6