Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:4-6

Ezekieli 37:4-6 SRUV

Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 37:4-6