Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 36:26-28

Ezekieli 36:26-28 BHN

Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa kwenu moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii. Nitatia roho yangu ndani yenu; nitawafanya mfuate kanuni zangu na kuzingatia maazimio yangu. Mtakaa katika nchi niliyowapa wazee wenu. Mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 36:26-28