Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 36:26-27

Ezekieli 36:26-27 BHN

Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa kwenu moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii. Nitatia roho yangu ndani yenu; nitawafanya mfuate kanuni zangu na kuzingatia maazimio yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 36:26-27

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha