Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 17:22-23

Ezekieli 17:22-23 BHN

Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mimi mwenyewe nitachukua kisehemu cha ncha ya juu ya mwerezi, naam, nitavunja tawi changa kutoka matawi yake ya juu na kulipanda juu ya mlima mrefu sana. Naam, nitalipanda juu ya mlima mrefu wa Israeli ili lichanue na kuzaa matunda. Litakuwa mwerezi mzuri, na ndege wa aina zote watakaa chini yake pia watajenga viota vyao katika matawi yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 17:22-23