Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 9:3-4

Kutoka 9:3-4 BHN

nitaunyosha mkono wangu na kuleta maradhi mabaya sana juu ya mifugo yenu yote: Ng'ombe, farasi, punda, ngamia, mbuzi na kondoo. Na, nitaitenganisha mifugo ya Waisraeli na mifugo ya Wamisri ili mnyama hata mmoja wa Waisraeli asife.’”

Soma Kutoka 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 9:3-4