Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 35:35

Kutoka 35:35 BHN

Amewapa ujuzi wa kufanya kila kazi ya ufundi au ifanywayo na watu wa sanaa au mafundi wa kutarizi kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa, kwa kutumia ufundi wowote wa msanii.

Soma Kutoka 35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 35:35