Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 32:1

Kutoka 32:1 BHN

Watu walipoona kuwa Mose amechelewa kurudi kutoka mlimani, walikusanyika mbele ya Aroni na kumwambia, “Haya! Tutengenezee miungu itakayotuongoza maana hatujui lililompata huyo Mose aliyetutoa nchini Misri.”

Soma Kutoka 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 32:1