Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:6

Kutoka 31:6 BHN

Vilevile nimemteua Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, afanye kazi pamoja naye. Hali kadhalika nimewapa uwezo mkubwa watu wengine kwa ajili ya kazi mbalimbali, ili watengeneze vifaa vyote nilivyoagiza vifanywe

Soma Kutoka 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:6