Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 24:17-18

Kutoka 24:17-18 BHN

Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulionekana mbele ya macho ya watu wa Israeli kama moto unaowaka juu ya mlima. Mose akaingia ndani ya lile wingu, akapanda mlimani. Alikaa huko kwa muda wa siku arubaini, mchana na usiku.

Soma Kutoka 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 24:17-18