Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 23:2-3

Kutoka 23:2-3 BHN

Usifuate genge la watu kutenda uovu, wala usijumuike na genge la watu kutoa ushahidi mahakamani ili kupotosha haki. Usiwe na upendeleo katika kesi ya maskini.

Soma Kutoka 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 23:2-3