Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 23:2-3

Kut 23:2-3 SUV

Usiandamane na mkutano kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lo lote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotoa hukumu; wala usimpendelee mtu mnyonge katika neno lake.

Soma Kut 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 23:2-3