Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 2:10

Kutoka 2:10 BHN

Mtoto alipokuwa mkubwa kiasi, mama yake akampeleka kwa binti Farao, naye akamchukua na kumfanya mwanawe. Binti Farao akasema, “Nimemtoa majini,” kwa hiyo akampa mtoto huyo jina Mose.

Soma Kutoka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 2:10