Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 19:5-6

Kutoka 19:5-6 BHN

Sasa basi, kama mkiitii sauti yangu na kulishika agano langu, mtakuwa watu wangu wateule kati ya mataifa yote, maana dunia yote ni yangu. Mtakuwa kwangu ufalme wa makuhani na taifa takatifu.’ Hayo ndiyo maneno utakayowaambia Waisraeli.”

Soma Kutoka 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 19:5-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha