Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 13:21-22

Kutoka 13:21-22 BHN

Mchana Mwenyezi-Mungu aliwatangulia katika mnara wa wingu kuwaonesha njia, na usiku aliwatangulia katika mnara wa moto kuwaangazia, ili waweze kusafiri mchana na usiku. Mnara wa wingu wakati wa mchana, na mnara wa moto wakati wa usiku, kamwe haikukosekana kuwatangulia Waisraeli.

Soma Kutoka 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 13:21-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha