Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 12:31-32

Kutoka 12:31-32 BHN

Hapo Farao akawaita Mose na Aroni, usiku huohuo, akamwambia, “Amkeni! Ondokeni miongoni mwa watu wangu. Nendeni, nyinyi pamoja na hao Waisraeli, mkamtumikie Mwenyezi-Mungu kama mlivyosema. Chukueni makundi yenu ya kondoo na ng'ombe, mwondoke; niombeeni na mimi baraka.”

Soma Kutoka 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 12:31-32